Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Novemba, 2020

JINSI YA KUPIKA CHAPATI ZA KUCHAMBUKA NA LAINI

Tap here to start composing...

JINSI YA UPISHI MZURI WA KACHORI ZA VIAZI KWAAJILI YA FAMILIA NA BIASHARA😋

Picha
Mapishi ya kachori ni rahisi Sanaa na hayahitaji gharama kubwa sana katika kutayarisha lkn pia hayatumii gharama kubwa hadi kukamilisha upishi huo..... ✨Haya sasa tuanze somo letu: Vipimo: pamoja na viungo☺  ✓ Viazi   Mbatata (Mviringo)            Kilo 1      ✓ Kitunguu saumu(thomu) na Tangawizi    Kijiko 1 cha chakula ✓ Chumvi    kijiko 1 cha Chakula                                             ✓ Pilipili ya kusaga     kutegemea na unavyoipenda ✓ Ndimu                     1                              ✓ Mafuta ya kupikia kiasi  ✓ Unga wa dengu au Ngano           Kiasi  NAMNA YA KUTAYARISHA NA KUPIKA ➖Chemsha viaz...

JINSI YA KUPIKA SKONZI LAINI NA TAMU

jinsi ya kupika skonzi laini na tamu:  Vipimo:  ✳️Unga -; 4 Vikombe vya chai  ✳️Sukari -; 4 vijiko vya chakula  ✳️Chumvi - 1 Kijiko cha chakul  ✳️Hamira - 1 Kijiko cha chakula ✳️Siagi - ¼ Kikombe cha chai  ✳️Maziwa -; 1 ½ Vikombe vha chai(siyo lazima unaweza tumia maji pia  🔹Yai; 1 Moja  🔹Ufuta Kiasi ya kunyunyizia juu . .  💟Namna Ya Kutayarisha Na Kupika    ☑️Katika bakuli changanya vipimo vyote isipikuwa ufuta.  ☑️Kisha ukande unga huku unanyunyizia unga ukiwa unashika  ☑️Funika mchanganyiko na weka pahali penye joto hadi iimuke.Halafu fanya viduara na viweke kwenye treya ya kuchomea iliyopakwa siagi.   ☑️Ziache mahali penye joto hadi zimuuke kwa mara ya pili.  ☑️Washa oveni moto wa 350°.Pakiza (brush) Yai uliopiga au maziwa juu ya vile vidonge kisha nyunyizia ufuta juu.  ☑️Kisha vumbika kwenye oveni kwa muda wa dakika 15 hivi au kama unatumia jiko la mkaa palia kama upaliavyo wali chini acha mo...

MBINU ZA MAFANIKIO KWENYE BIASHARA YAKO

MBINU ZA MAFANIKIO KWENYE BIASHARA 1.Fanya kitu unachokipendaa:  Hapa unalazimika kuekeza  Hela zako, Muda wako , Ujuzi wako ili kujipatia Matokeo Makubwa ya Mafanikio Katika Maisha yako. Usikubali kwenye Maisha yako kufanya kitu ambacho hukipendi, tafuta Biashara ambayo unayopenda kuifanya ili uwenza Leo kuifanya Biashara hiyo. Siri kubwa ya Mafanikio kwenye Maisha ni kufanya Biashara ambayo unaipenda Kwa sababu inakupa nguvu na Hamasa ya kuifanya bila kuchoka. Kwhyo kuanzia Leo kaa Chini ujiulize ni Biashara gani ambayo ninaipenda kuifanya , baada ya Kupata jibu ndio jipangie siku ya kuanza kuifanya Biashara yako . Jitahidi usichelewe kuanza Biashara yako kwani Ukichelewa kuanzisha Biashara yako ndio unachelewa kufanikiwa . Anza Leo ili Ufanikiwe Leo. 2.Fanya kazi Kwa bidii: * Katika Biashara bidii inahitajika sana ili kufanikiwa Katika Maisha yako. Unatakiwa kujitowa, kujituma Usijionee huruma wakati unatafuta Mafakio, jionee huruma kawann sijapata Mafaniko. Wakati wa kutaf...