Mapishi ya kachori ni rahisi Sanaa na hayahitaji gharama kubwa sana katika kutayarisha lkn pia hayatumii gharama kubwa hadi kukamilisha upishi huo..... ✨Haya sasa tuanze somo letu: Vipimo: pamoja na viungo☺ ✓ Viazi Mbatata (Mviringo) Kilo 1 ✓ Kitunguu saumu(thomu) na Tangawizi Kijiko 1 cha chakula ✓ Chumvi kijiko 1 cha Chakula ✓ Pilipili ya kusaga kutegemea na unavyoipenda ✓ Ndimu 1 ✓ Mafuta ya kupikia kiasi ✓ Unga wa dengu au Ngano Kiasi NAMNA YA KUTAYARISHA NA KUPIKA ➖Chemsha viaz...
Maoni
Chapisha Maoni